Wednesday, 10 February 2010

Mafunzo ya Internet Kwa Waandishi Zanzibar

Waandishi wa habari na wahaririri kutoka vyombo vya habari Zanzibar wapo katika mafunzo ya wiki moja juu ya kutumia internet kwa waandishi wa habari, mafunzo hayo yametayarishwa na MISA TAN kwa ufadhili wa nchi ya Finland, yanatolewa na mtaalamu kutoka nchi hiyo ambaye ni PEIK Johansson, miongoni mwa mambo yanayofundishwa ni m atumizi mazuri ya internet kwa waandishi, namna ya kutengeza blog na kuhifadhi kazi a waandishi, umuhimu wa Teknolojia ya kisasa katika kazi za waandishi, namna ya kufanya utafiti kupitia mtandao na mambo kadha wa kadhaa yanayohusu mtandao.

No comments: