Ni blog itakayokuwa inakupatia habari na picha za matukio yanayotokea ndani na nje nawe pia unakaribishwa. kwa maelezo zaidi piga +783 289464 or +773 291247 email:chadula@hotmail.com
Wednesday, 14 April 2010
GOOD NEWS
I got a baby boy, pictures will follow later, hivi sasa ni baba fulanii..????? ofcourse jina bado mpaka afike mtoto siku ya saba
Ni mwandishi na mtaalamu wa mambo ya mahusiano(Public Relations) ambapo nimemaliza uandishi wa habari kutoka (IJMC)chuo kikuu cha Dar es salaam na kufanya shahada ya juu ya mahusiano ya jamii kutoka chuo kikuu cha Cardiff kilichopo nchini Uengereza, hivi sasa ni mshauri na mtayarishaji wa matukio (event management) kupitia katika kampuni yangu na mwenzangu inayoitwa ASAM Public Relations Co. Ltd pia ni mwandishi wa habari na mchambuzi TVZ, nimeoa na mke wangu anaitwa Mwanaharusi Ali Mohamed
2 comments:
waooooo that real good news na sasa baba Mabrouk M/mungu atuwekee mtoto wetu maisha marefu Amin.
ndambe uk
Post a Comment