Tuesday, 9 February 2010

Maridhiano yaanzwa kutiwa dowa

Vyama vidogo vya upinzani 12 nchini Tanzania vimetishia kufungua kesi mahakamani kuishataki chama cha Mapinduzi pamoja na CUF kwa kutaka kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar bila ya kuwashirikisha wao. wamesema wao kama ni sehemu ya jamii wanapaswa kuhusishwa kikamilifu kama wadau wa siasa. hatua hiyo imekuja siku chache baada ya baraza la wawakilishi kupitisha hoja binafsi iliyosilishwa na kiongozi wa upinzani Abubakari Khamis Bakari

1 comment:

Anonymous said...

hao vyama vidogo watakuwa wametumwa na wasiotakia mema nchi yetu, wazanzibar sote tunapaswa kuwa kitu kimoja tusikubali kurejeshwa tulipotoka