Wednesday, 10 February 2010
TAMASHA LA MUZIKI KUANZA KESHO ZNZ
Zaidi ya wasanii 400 kutoka vikundi 40 vya muziki ndani na nje ya Tanzania vinatarajiwa kushiriki katika tamasha la busara litakaloanza kesho hadi tarehe 16 miongoni mwa vikundi kumi na mbili vinatoka Zanzibar na nane kutoka Tanzania Bara, Tamasha hili pia limeshirikisha makundi ishirini kutoka nje ya Nchi kama vile Kenya, Uganda, Afrika Kusini, Mozambique, Mayotte, Egypt, Guinea, Senegal, Gambia na Zambia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment