Wednesday, 10 February 2010
MKUTANO WA KIMATAIFA JUU YA MAENDELEO ENDELEVU NEW DELH
Mwanaharakati wa mazingira duniani Prof Wangari Maathai ametoa changamoto kwa serikali, vyama visivyokuwa vya kiserikali, mashirika ya Kimataifa, viongozi wa jamii na wale wa dini kushirikiana pamoja katika kutunza mazingira ulimwenguni. Amesema licha ya kutokuwepo kwa makubaliano ya pamoja katika mkutano wa copen Hagen lakini taasisi hizo zinapaswa kufanya kazi kwa pamoja hasa ikizingatiwa kuwa mabadiliko ya hali ya hewa hawasubiri makubaliano bali yanaendelea kuathiri duniani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment