Tuesday, 9 March 2010
UMEME WARUDI ZANZIBAR
Hatimae baada ya miezi mitatu umeme warejea tena Zanzibar tokea ulipokatika tarehe 10 Decemba mwaka jana. umeme huo umerejea kwa sehemu kubwa ya Zanzibar huku maeneo mengine yakiachwa bila ya umeme kutokana na sababu za kuibiwa waya pamoja na kuharibika kwa transfoma. wananchi wazanzibar wamepokea kwa furaha kurejea kwa umeme baada ya kuka kwa kipindi chote hicho bila ya umeme na kuyafanya maisha yao kuwa magumu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Alhamdulillah! Maeneo gani yaliyoibiwa nyaya?
Sasa tupe news kuhusu umeme kwani watu wanasema kua unaweza kukatika tena time yoyote kua waya ni zile zile wametumia ambazo tunaambia kua simekwisha muda wake.
Post a Comment